1 Chronicles 7:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na pia mipakani mwa wana wa Manase: Beth-sheani na vitongoji vyake, Taanaki na vitongoji vyake, Megido na vitongoji vyake na Dori na vitongoji vyake. Hiyo ndiyo miji walimoishi wazawa wa Yosefu, mwana wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mipaka ya Manase kulikuwa na Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wazao wa Yusufu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mipakani mwa wana wa Manase; Beth-sheani na vijiji vyake; na Taanaki na vijiji vyake; na Megido na vijiji vyake; na Dori na vijiji vyake. Katika miji hiyo walikaa wana wa Yusufu, mwana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na pia mipakani mwa wana wa Manase: Beth-sheani na vitongoji vyake, Taanaki na vitongoji vyake, Megido na vitongoji vyake na Dori na vitongoji vyake. Hiyo ndiyo miji walimoishi wazawa wa Yosefu, mwana wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yosefu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yusufu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mipakani mwa wana wa Manase; Beth-sheani na vijiji vyake; na Taanaki na vijiji vyake; na Megido na vijiji vyake; na Dori na vijiji vyake. Katika miji hiyo walikaa wana wa Yusufu, mwana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na pia mipakani mwa wana wa Manase: Beth-sheani na vitongoji vyake, Taanaki na vitongoji vyake, Megido na vitongoji vyake na Dori na vitongoji vyake. Hiyo ndiyo miji walimoishi wazawa wa Yosefu, mwana wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kando ya mipaka ya wana wa Manase: Beti-Seani na vijiji vyake, Taanaki na vijiji vyake, Megido na vijiji vyake, Dori na vijiji vyake. Humo ndimo, wana wa Yosefu, mwana wa Isiraeli, walimokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mipakani mwa wana wa Manase; Beth-sheani na vijiji vyake; na Taanaki na vijiji vyake; na Megido na vijiji vyake; na Dori na vijiji vyake. Katika miji hiyo walikaa wana wa Yusufu, mwana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na vilevile kwenye mipaka ya wana wa Manase: Beti-Seani na vijiji vyake, Tanaki na vijiji vyake, Megido na vijiji vyake na Dori na vijiji vyake. Hiyo ndiyo miji ambomo wazao wa Yosefu, mwana wa Israeli walimoishi.