1 Chronicles 7:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na umbu lao, Sera.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na dada yao, Sera.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Aseri: Imuna na Isiwa na Iswi na Beria, naye Sera aliyekuwa umbu lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na umbu lao, Sera.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Aseri walikuwa: Imuna, Isiwa, Isiwi na Beria, pamoja na binti mumoja jina lake Sera.