1 Chronicles 7:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heberi alikuwa na wana watatu: Yafleti, Shomeri na Hothamu, na binti mmoja jina lake Shua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Heberi akamzaa Yafleti, na Shomeri, na Hothamu, na umbu lao, Shua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heberi alikuwa na wana watatu: Yafleti, Shomeri na Hothamu, na binti mmoja jina lake Shua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Heberi akamzaa Yafleti, na Shomeri, na Hothamu, na dada yao, Shua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heberi alikuwa na wana watatu: Yafleti, Shomeri na Hothamu, na binti mmoja jina lake Shua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Heberi akamzaa Yafuleti na Someri na Hotamu, naye umbu lao Sua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Heberi akamzaa Yafleti, na Shomeri, na Hothamu, na umbu lao, Shua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Heberi walikuwa: Yafuleti, Someri na Hotamu, na binti mumoja jina lake Sua.