1 Chronicles 7:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na Helemu, ndugu yake mwingine, alikuwa na wana wanne: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa nduguye Helemu; Sofa, na Imna, na Sheleshi, na Amali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na Helemu, ndugu yake mwingine, alikuwa na wana wanne: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa nduguye Helemu; Sofa, na Imna, na Sheleshi, na Amali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na Helemu, ndugu yake mwingine, alikuwa na wana wanne: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa ndugu yake Helemu: Sofa na Imuna na Selesi na Amali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa nduguye Helemu; Sofa, na Imna, na Sheleshi, na Amali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Helemu walikuwa: Sofa, Imuna, Selesi na Amali.