1 Chronicles 7:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vile ambavyo wake na watoto wao walikuwa wengi sana, mliweza kupatikana vikosi vya wanajeshi 36,000 kutokana na wazawa wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu elfu thelathini na sita waliokuwa wamejiandaa kwa vita, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na pamoja nao, katika vizazi vyao, sawasawa na mbari za baba zao, walikuwapo vikosi vya jeshi la vita, watu thelathini na sita elfu; kwa kuwa wake zao na watoto wao walikuwa wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vile ambavyo wake na watoto wao walikuwa wengi sana, mliweza kupatikana vikosi vya wanajeshi 36,000 kutokana na wazawa wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na pamoja nao, katika vizazi vyao, kulingana na koo za baba zao, walikuwapo vikosi vya jeshi la vita, watu elfu thelathini na sita; kwa kuwa wake zao na watoto wao walikuwa wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa vile ambavyo wake na watoto wao walikuwa wengi sana, mliweza kupatikana vikosi vya wanajeshi 36,000 kutokana na wazawa wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena vizazi vya kwao vya milango ya baba zao vilikuwa vyenye vikosi vikubwa vya wapiga vita, watu 36000, kwani walikuwa wenye wanawake na watoto wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na pamoja nao, katika vizazi vyao, sawasawa na mbari za baba zao, walikuwapo vikosi vya jeshi la vita, watu thelathini na sita elfu; kwa kuwa wake zao na watoto wao walikuwa wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa vile wake na watoto wao walikuwa wengi sana, walikuwa na wanaume elfu makumi tatu na sita wanaoweza kuenda kwa vita.