1 Chronicles 7:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikishwa kwa kufuata koo, walikuwa 87,000, na wote walikuwa mashujaa wa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jamaa waliokuwa wapiganaji kutoka koo zote za Isakari, kama walivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa elfu themanini na saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ndugu zao katika jamaa zote za Isakari, watu hodari wa vita, wakihesabiwa kwa vizazi vyao, walikuwa watu themanini na saba elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikishwa kwa kufuata koo, walikuwa 87,000, na wote walikuwa mashujaa wa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ndugu zao katika jamaa zote za Isakari, watu hodari wa vita, wakihesabiwa kwa vizazi vyao, walikuwa watu elfu themanini na saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikishwa kwa kufuata koo, walikuwa 87,000, na wote walikuwa mashujaa wa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndugu zao wa koo zote za Isakari walikuwa mafundi wa vita wenye nguvu, walioandikwa katika kitabu cha udugu, wote pamoja walikuwa watu 87000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ndugu zao katika jamaa zote za Isakari, watu hodari wa vita, wakihesabiwa kwa vizazi vyao, walikuwa watu themanini na saba elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikwa kwa kufuata ukoo, walikuwa elfu makumi munane na saba, na wote walikuwa mashujaa wa vita.