1 Chronicles 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bekeri alikuwa na wana tisa: Zemira, Yoashi, Eliezeri, Eliehonai, Omri, Yeremothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Wote hawa ni wazawa wa Bekeri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Bekeri walikuwa: Zemira, Yoashi, Eliezeri, Elioenai, Omri, Yeremothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Hawa wote walikuwa wana wa Bekeri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Bekeri; Zemira, na Yoashi, na Eliezeri, na Elioenai, na Omri, na Yeremothi, na Abiya, na Anathothi, na Alemethi. Hao wote ndio wana wa Bekeri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bekeri alikuwa na wana tisa: Zemira, Yoashi, Eliezeri, Eliehonai, Omri, Yeremothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Wote hawa ni wazawa wa Bekeri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Bekeri walikuwa: Zemira, Yoashi, Eliezeri, Elieonai, Omri, Yerimothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Hawa wote walikuwa wana wa Bekeri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Bekeri walikuwa: Zemira, Yoashi, Eliezeri, Elioenai, Omri, Yeremothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Hawa wote walikuwa wana wa Bekeri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Bekeri; Zemira, na Yoashi, na Eliezeri, na Elioenai, na Omri, na Yeremothi, na Abiya, na Anathothi, na Alemethi. Hao wote ndio wana wa Bekeri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bekeri alikuwa na wana tisa: Zemira, Yoashi, Eliezeri, Eliehonai, Omri, Yeremothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Wote hawa ni wazawa wa Bekeri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Bekeri: Zemira na Yoasi na Eliezeri na Eliyoenai na Omuri na Yeremoti na Abia na Anatoti na Alemeti; hawa wote walikuwa wana wa Bekeri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Bekeri; Zemira, na Yoashi, na Eliezeri, na Elioenai, na Omri, na Yeremothi, na Abiya, na Anathothi, na Alemethi. Hao wote ndio wana wa Bekeri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Bekeri walikuwa: Zemira, Yoasi, Eliezeri, Eliehonai, Omuri, Yeremoti, Abiya, Anatoti na Alemeti. Wote hawa ni wazao wa Bekeri.