1 Chronicles 7:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliandikishwa kwa koo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na idadi ya wazawa wao ilikuwa 20,200, wote wakiwa mashujaa wa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji elfu ishirini na mia mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao, katika vizazi vyao, wakuu wa mbari za baba zao, watu hodari wa vita, jumla yao watu ishirini elfu na mia mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliandikishwa kwa koo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na idadi ya wazawa wao ilikuwa 20,200, wote wakiwa mashujaa wa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji 20,200.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji 20,200.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao, katika vizazi vyao, wakuu wa koo za baba zao, watu hodari wa vita, jumla yao watu elfu ishirini na mia mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliandikishwa kwa koo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na idadi ya wazawa wao ilikuwa 20,200, wote wakiwa mashujaa wa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao vichwa vya milango ya baba zao walioandikwa katika kitabu cha udugu hivyo, walivyofuatana kuzaliwa, walikuwa mafundi wa vita wenye nguvu, watu 20200.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao, katika vizazi vyao, wakuu wa mbari za baba zao, watu hodari wa vita, jumla yao watu ishirini elfu na mia mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliandikishwa kwa ukoo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na hesabu ya wazao wao ilikuwa elfu makumi mbili na mia mbili, wote wakiwa mashujaa wa vita.