1 Chronicles 8:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Benyamini akamzaa: Bela mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli mwanawe wa pili, Ahara mwanawe wa tatu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Benyamini akamzaa Bela, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Ashbeli, na wa tatu Ahiramu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Benyamini akamzaa: Bela mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli mwanawe wa pili, Ahara mwanawe wa tatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Benyamini akamzaa: Bela mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli mwanawe wa pili, Ahara mwanawe wa tatu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Benyamini akamzaa Bela, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Ashbeli, na wa tatu Ahiramu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Benyamini akamzaa mwanawe wa kwanza Bela, wa pili Asibeli, wa tatu Ahara,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Benyamini akamzaa Bela, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Ashbeli, na wa tatu Ahiramu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Benjamina alizaa wana hawa: Bela, muzaliwa wake wa kwanza; Asibeli, wa pili; Ahara, wa tatu;