1 Chronicles 8:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeuzi, Sakia, na Mirma. Hawa wanawe wote walikuja kuwa wakuu wa koo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeuzi, Sakia na Mirma. Hao walikuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yeusi, na Shakia, na Mirma. Hao ndio wanawe, wakuu wa mbari za baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeuzi, Sakia, na Mirma. Hawa wanawe wote walikuja kuwa wakuu wa koo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeuzi, Sakia na Mirma. Hawa ndio waliokuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeuzi, Sakia na Mirma. Hawa ndio waliokuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yeusi, na Shakia, na Mirma. Hao ndio wanawe, wakuu wa mbari za baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeuzi, Sakia, na Mirma. Hawa wanawe wote walikuja kuwa wakuu wa koo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Yeusi na Sakia na Mirma. Hawa ndio wanawe waliokuwa vichwa vya milango ya baba zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yeusi, na Shakia, na Mirma. Hao ndio wanawe, wakuu wa mbari za baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeusi, Sakia, na Mirma. Hawa wana wake wote walikuja kuwa wakubwa wa ukoo.