1 Chronicles 8:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shaharaimu na mkewe Hushimu alipata wana wengine wawili: Abitubu na Elpaali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alikuwa amezaliwa na Hushimu, Abitubu, na Elpaali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shaharaimu na mkewe Hushimu alipata wana wengine wawili: Abitubu na Elpaali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alikuwa amezaliwa na Hushimu, Abitubu, na Elpaali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shaharaimu na mkewe Hushimu alipata wana wengine wawili: Abitubu na Elpaali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pamoja na Husimu alikuwa amemzaa Abitubu na Elpali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alikuwa amezaliwa na Hushimu, Abitubu, na Elpaali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Husimu muke wa Saharaimu alimuzaliwa wana wengine wawili: Abitubu na Elipali.