1 Chronicles 8:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Elpaali walikuwa watatu: Eberi, Mishamu na Shemedi ambaye aliijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji kandokando yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Elpaali walikuwa: Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Elpaali walikuwa watatu: Eberi, Mishamu na Shemedi ambaye aliijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji kandokando yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Elpaali walikuwa: Eberi, Mishamu, Shemedi (ambaye aliijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Elpaali walikuwa: Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Elpaali walikuwa watatu: Eberi, Mishamu na Shemedi ambaye aliijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji kandokando yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Elpali: Eberi na Misamu na Semeri; huyu ndiye aliyejenga Ono na Lodi na vijiji vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Elipali walikuwa: Eberi, Misamu na Semedi ambaye alijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji kandokando yake;