1 Chronicles 8:21 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wazawa wa Shimei.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wana wa Shimei.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Adaya, na Beraya, na Shimrathi; walikuwa wana wa Shema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wazawa wa Shimei.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adaya, Beraya na Shimrathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wana wa Shimei.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Adaya, na Beraya, na Shimrathi; walikuwa wana wa Shema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wazawa wa Shimei.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Adaya na Beraya na Simurati walikuwa wana wa Simei.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Adaya, na Beraya, na Shimrathi; walikuwa wana wa Shema.