1 Chronicles 8:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na Miklothi aliyekuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Miklothi akamzaa Shimea. Na hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao katika Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Miklothi akamzaa Shimea. Na hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Mikloti aliyemzaa Simea. Nao hawa walikaa ng'ambo ya ndugu zao kule Yerusalemu kwao ndugu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Miklothi akamzaa Shimea. Na hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Mikiloti baba ya Simea. Hawa vilevile waliishi Yerusalema karibu na watu wengine wa ukoo wao.