1 Chronicles 8:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahazi alimzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri. Zimri alimzaa Mosa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Ahazi akamzaa Yara; na Yara akamzaa Alemethi, na Azmawethi, na Zimri; na Zimri akamzaa Mosa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahazi alimzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri. Zimri alimzaa Mosa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Ahazi akamzaa Yara; na Yara akamzaa Alemethi, na Azmawethi, na Zimri; na Zimri akamzaa Mosa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahazi alimzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri. Zimri alimzaa Mosa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahazi akamzaa Yoada, naye Yoada akamzaa Alemeti, tena Azimaweti na Zimuri, naye Zimuri akamzaa Mosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Ahazi akamzaa Yara; na Yara akamzaa Alemethi, na Azmawethi, na Zimri; na Zimri akamzaa Mosa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahazi alizaa Yera. Naye Yera alizaa Alemeti, Azimaweti na Zimuri. Zimuri alizaa Moza.