1 Chronicles 8:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mosa alimzaa Binea, aliyemzaa Rafa, aliyemzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mosa akamzaa Binea; Refaya alikuwa mwanawe Binea, Eleasa mwanawe Refaya, naye Aseli mwanawe Eleasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Ekasa, na mwanawe huyo ni Aseli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mosa alimzaa Binea, aliyemzaa Rafa, aliyemzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, Rafa akamzaa Eleasa na Aseli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Ekasa, na mwanawe huyo ni Aseli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mosa alimzaa Binea, aliyemzaa Rafa, aliyemzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mosa akamzaa Bina; mwanawe huyo alikuwa Rafa, mwanawe huyo Elasa, mwanawe huyo Aseli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Ekasa, na mwanawe huyo ni Aseli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moza alizaa Binea, Binea alizaa Rafa, aliyemuzaa Eleasa, naye Eleasa alizaa Azeli.