1 Chronicles 8:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa watatu. Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Esheki nduguye ni hawa; mzaliwa wake wa kwanza, Ulamu, na wa pili Yeushi, na wa tatu Elifeleti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa watatu. Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Esheki nduguye ni hawa; mzaliwa wake wa kwanza, Ulamu, na wa pili Yeushi, na wa tatu Elifeleti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa watatu. Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa ndugu yake Eseki: wa kwanza Ulamu, wa pili Yeusi, wa tatu Elifeleti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Esheki nduguye ni hawa; mzaliwa wake wa kwanza, Ulamu, na wa pili Yeushi, na wa tatu Elifeleti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wana wa ndugu yake Eseki walikuwa: Ulamu, muzaliwa wake wa kwanza; Yeusi, wa pili; na Elifeleti wa tatu.