1 Chronicles 8:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naamani, Ahiya na Gera. Gera, baba yake Uza na Ahihudi, ndiye aliyewaongoza kuchukua hatua hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naamani, Ahiya na Gera. Gera ndiye aliwapeleka uhamishoni, na alikuwa baba yao Uza na Ahihudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Naamani, na Ahoa, na Gera; aliwachukua mateka). Naye akamzaa Uza, na Ahihudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naamani, Ahiya na Gera. Gera, baba yake Uza na Ahihudi, ndiye aliyewaongoza kuchukua hatua hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliyewaongoza kwenda uhamishoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Naamani, na Ahoa, na Gera; aliwachukua mateka). Naye akamzaa Uza, na Ahihudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naamani, Ahiya na Gera. Gera, baba yake Uza na Ahihudi, ndiye aliyewaongoza kuchukua hatua hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namani na Ahia na Gera; huyu ndiye aliyewahamisha. Kisha akamzaa Uza na Ahihudi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Naamani, na Ahoa, na Gera; aliwachukua mateka). Naye akamzaa Uza, na Ahihudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Namani, Ahiya na Gera. Gera, baba ya Uza na Ahihudi, ndiye aliyewaongoza walipohamishwa.