1 Chronicles 8:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimwoa Hodeshi, naye akamzalia wana saba: Yoabu, Sibia, Mesha, Malkamu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yobabu, Sibia, Mesha, Malkamu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akazaliwa na Hodeshi, mkewe; Yobabu, na Sibia, na Mesha, na Malkamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimwoa Hodeshi, naye akamzalia wana saba: Yoabu, Sibia, Mesha, Malkamu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yoabu, Sibia, Mesha, Malkamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yobabu, Sibia, Mesha, Malkamu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akazaliwa na Hodeshi, mkewe; Yobabu, na Sibia, na Mesha, na Malkamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimwoa Hodeshi, naye akamzalia wana saba: Yoabu, Sibia, Mesha, Malkamu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha akazaa na mkewe Hodesi: Yobabu na Sibia na Mesa na Malkamu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akazaliwa na Hodeshi, mkewe; Yobabu, na Sibia, na Mesha, na Malkamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha aliishi katika inchi ya Moabu, akamwoa Hodesi, naye akamuzalia wana hawa: Yoabu, Sibia, Mesa, Malakamu,