1 Chronicles 9:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; jumla watu 1,760. Walikuwa wakuu wenye uwezo mkubwa katika huduma yote ya nyumba ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa elfu moja na mia saba na sitini (1,760). Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakuu wa mbari za baba zao; pamoja na ndugu zao; watu elfu na mia saba na sitini; watu wenye ustadi waliofaa sana kwa kazi ya huduma ya nyumba ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; jumla watu 1,760. Walikuwa wakuu wenye uwezo mkubwa katika huduma yote ya nyumba ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa 1,760. Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa 1,760. Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; watu elfu moja na mia saba na sitini; watu wenye ujuzi waliofaa sana kwa kazi ya huduma ya nyumba ya Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; jumla watu 1,760. Walikuwa wakuu wenye uwezo mkubwa katika huduma yote ya nyumba ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndugu zao waliokuwa vichwa vya milango ya baba zao, watu 1760, nao ni watu walio mafundi wenye nguvu za kufanya kazi za utumishi wa Nyumbani mwa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakuu wa mbari za baba zao; pamoja na ndugu zao; watu elfu na mia saba na sitini; watu wenye ustadi waliofaa sana kwa kazi ya huduma ya nyumba ya Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa hawa wa ukoo za baba zao, pamoja na wandugu zao walikuwa kwa jumla watu elfu moja na mia saba na makumi sita. Walikuwa wakubwa wenye uwezo mukubwa katika kazi yote ya nyumba ya Mungu.