1 Chronicles 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi wafuatao waliishi Yerusalemu: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jamaa za Walawi walikuwa: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika Walawi; Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi wafuatao waliishi Yerusalemu: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jamaa za Walawi walikuwa: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jamaa za Walawi walikuwa: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika Walawi; Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi wafuatao waliishi Yerusalemu: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine walikuwa Walawi: Semaya, mwana wa Hasubu, mwana wa Azirikamu, mwana wa Hasabia aliyekuwa mmoja wao wana wa Merari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika Walawi; Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio Walawi walioishi Yerusalema: Semaya, mwana wa Hasubu mwana wa Azirikamu mwana wa Hasabia, wa ukoo wa Merari;