1 Chronicles 9:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni; na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana; waliokuwa wakiishi katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Obadia mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. Berekia mwana wa Asa, mwana wa Elkana, ambao waliishi katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni; na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana; waliokaa katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni; na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana; waliokuwa wakiishi katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Obadia mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. Berekia mwana wa Asa, mwana wa Elikana, ambao waliishi katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Obadia mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. Berekia mwana wa Asa, mwana wa Elikana, ambao waliishi katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni; na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana; waliokaa katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni; na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana; waliokuwa wakiishi katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Obadia, mwana wa Semaya, mwana wa Galali, mwana wa Yedutuni, na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana aliyekaa katika vijiji vyao Wanetofati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni; na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana; waliokaa katika vijiji vya Wanetofathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Obadia mwana wa Semaya mwana wa Galali mwana wa Yedutuni; na Berekia mwana wa Asa mwana wa Elekana; waliokuwa wakiishi katika vijiji vya Wanetofati.