1 Chronicles 9:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinzi wa hekalu wafuatao pia waliishi katika Yerusalemu: Shalumu, Akubu, Talmoni na Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mkuu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabawabu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu waliorudi walikuwa: Shalumu, Akubu, Talmoni, Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mlinzi wao mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika mabawabu; Shalumu, na Akubu, na Talmoni, na Ahimani, na ndugu zao; naye Shalumu alikuwa mkuu wao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinzi wa hekalu wafuatao pia waliishi katika Yerusalemu: Shalumu, Akubu, Talmoni na Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mkuu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawabu katika Hekalu la BWANA waliorudi walikuwa: Shalumu, Akubu, Talmoni, Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mlinzi wao mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabawabu katika Hekalu la bwana waliorudi walikuwa: Shalumu, Akubu, Talmoni, Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mlinzi wao mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika mabawabu; Shalumu, na Akubu, na Talmoni, na Ahimani, na ndugu zao; naye Shalumu alikuwa mkuu wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinzi wa hekalu wafuatao pia waliishi katika Yerusalemu: Shalumu, Akubu, Talmoni na Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mkuu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wangoja malango: Salumu na Akubu na Talmoni na Ahimani pamoja na ndugu zao; naye Salumu alikuwa kichwa chao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika mabawabu; Shalumu, na Akubu, na Talmoni, na Ahimani, na ndugu zao; naye Shalumu alikuwa mkuu wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio walinzi wa hekalu walioishi katika Yerusalema: Salumu, Akubu, Talmoni na Ahimani na wandugu zao. Salumu alikuwa mukubwa wao.