1 Chronicles 9:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Finehasi, mwana wa Eleazari, alikuwa msimamizi wao, hapo awali, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo zamani Finehasi mwana wa Eleazari alikuwa kiongozi wa mabawabu, naye Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja naye:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye Finehasi, mwana wa Eleazari, alikuwa mkuu wao hapo zamani, naye Bwana alikuwa pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Finehasi, mwana wa Eleazari, alikuwa msimamizi wao, hapo awali, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo zamani Finehasi mwana wa Eleazari alikuwa kiongozi wa mabawabu, naye BWANA alikuwa pamoja naye:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo zamani Finehasi mwana wa Eleazari alikuwa kiongozi wa mabawabu, naye bwana alikuwa pamoja naye:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye Finehasi, mwana wa Eleazari, alikuwa mkuu wao hapo zamani, naye BWANA alikuwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Finehasi, mwana wa Eleazari, alikuwa msimamizi wao, hapo awali, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Pinehasi, mwana wa Elazari, alikuwa kale mkuu wao, naye Bwana alikuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye Finehasi, mwana wa Eleazari, alikuwa mkuu wao hapo zamani, naye BWANA alikuwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Finehasi mwana wa Eleazari, alikuwa musimamizi wao, zamani, Yawe alikuwa pamoja naye.