1 Chronicles 9:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zekaria mwana wa Meshelemia, pia alikuwa mlinzi wa maingilio ya hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zekaria mwana wa Meshelemia alikuwa bawabu katika ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zekaria, mwana wa Meshelemia, alikuwa bawabu mlangoni pa ile hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zekaria mwana wa Meshelemia, pia alikuwa mlinzi wa maingilio ya hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zekaria mwana wa Meshelemia alikuwa bawabu katika ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zekaria mwana wa Meshelemia alikuwa bawabu katika ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zekaria, mwana wa Meshelemia, alikuwa bawabu mlangoni pa ile hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zekaria mwana wa Meshelemia, pia alikuwa mlinzi wa maingilio ya hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zakari, mwana wa Meselemia, alikuwa mlinda lango la Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zekaria, mwana wa Meshelemia, alikuwa bawabu mlangoni pa ile hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zekaria mwana wa Meselemia, alikuwa vilevile mulinzi wa viingilio vya hema la mukutano.