1 Chronicles 9:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu hao na wazawa wao, waliendelea kuyalinda malango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao na wazao wao walikuwa viongozi wa kulinda malango ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, nyumba iliyoitwa Hema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu hao na wana wao walikuwa na usimamizi wa malango ya nyumba ya Bwana, yaani, nyumba ya maskani, kwa zamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu hao na wazawa wao, waliendelea kuyalinda malango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao na wazao wao walikuwa viongozi wa kulinda malango ya nyumba ya BWANA, nyumba iliyoitwa Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao na wazao wao walikuwa viongozi wa kulinda malango ya nyumba ya bwana, nyumba iliyoitwa Hema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu hao na wana wao walikuwa na kazi ya ulinzi wa malango ya nyumba ya BWANA, yaani, nyumba ya maskani, kwa zamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu hao na wazawa wao, waliendelea kuyalinda malango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao wenyewe na wana wao walikuwa wakisimama penye malango ya Nyumba ya Bwana, ile nyumba ya Hema, na kupokeana zamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu hao na wana wao walikuwa na usimamizi wa malango ya nyumba ya BWANA, yaani, nyumba ya maskani, kwa zamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu hao na wazao wao, waliendelea kulinda milango ya nyumba ya Yawe.