1 Chronicles 9:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila upande, yaani mashariki, magharibi, kaskazini na kusini, palikuwa na lango lililokuwa na walinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabawabu walikuwa pande zote nne: mashariki, magharibi, kaskazini na kusini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wangojezi walikuwapo pande zote nne, kuelekea mashariki, na magharibi, na kaskazini, na kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila upande, yaani mashariki, magharibi, kaskazini na kusini, palikuwa na lango lililokuwa na walinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawabu walikuwa pande zote nne: mashariki, magharibi, kaskazini na kusini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabawabu walikuwa pande zote nne: mashariki, magharibi, kaskazini na kusini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao walinzi walikuwapo pande zote nne, kuelekea mashariki, na magharibi, na kaskazini, na kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila upande, yaani mashariki, magharibi, kaskazini na kusini, palikuwa na lango lililokuwa na walinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hao wangoja malango waliwekwa, waangalie pande zote nne, upepo unakotoka: maawioni kwa jua na machweoni kwa jua, kaskazini na kusini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wangojezi walikuwapo pande zote nne, kuelekea mashariki, na magharibi, na kaskazini, na kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila upande, ni kusema mashariki, magaribi, kaskazini na kusini, kulikuwa mulango uliokuwa na walinzi.