1 Chronicles 9:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinzi hawa walisaidiwa na ndugu zao waliokuwa wakiishi vijijini, ambao walilazimika kushika zamu ya ulinzi kwa muda wa siku saba, mara kwa mara,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zao katika vijiji vyao walikuwa wakija mara kwa mara, na kuwasaidia katika kazi zao kwa vipindi mbalimbali vya siku saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ndugu zao, katika vijiji vyao, wakaamaniwa kuingia kila siku ya saba, zamu kwa zamu, ili kuwa pamoja nao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinzi hawa walisaidiwa na ndugu zao waliokuwa wakiishi vijijini, ambao walilazimika kushika zamu ya ulinzi kwa muda wa siku saba, mara kwa mara,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zao katika vijiji vyao walikuwa wakija mara kwa mara na kuwasaidia katika kazi zao kwa vipindi mbalimbali vya siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zao katika vijiji vyao walikuwa wakija mara kwa mara na kuwasaidia katika kazi zao kwa vipindi mbalimbali vya siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ndugu zao, katika vijiji vyao, wakawajibika kuingia kila siku ya saba, zamu kwa zamu, ili kuwa pamoja nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinzi hawa walisaidiwa na ndugu zao waliokuwa wakiishi vijijini, ambao walilazimika kushika zamu ya ulinzi kwa muda wa siku saba, mara kwa mara,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndugu zao waliokaa vijijini kwao hawakuwa na budi kufika kila siku ya saba, wapokezane nao zamu kwa zamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ndugu zao, katika vijiji vyao, wakaamaniwa kuingia kila siku ya saba, zamu kwa zamu, ili kuwa pamoja nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinzi hawa walisaidiwa na wandugu zao waliokuwa wakiishi katika vijiji, ambao walilazimishwa kushika zamu ya ulinzi kwa muda wa siku saba, mara kwa mara,