1 Chronicles 9:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine walichaguliwa kuvisimamia vifaa vya hekalu, na vyombo vyote vitakatifu, na unga safi, divai, mafuta ya zeituni, ubani na manukato.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine walipangiwa kutunza mapambo na vifaa vingine vya patakatifu, pamoja na unga, divai, mafuta, uvumba na vikolezo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi yao waliamaniwa kuviangalia vyombo vya nyumbani, na vyombo vyote vya Patakatifu; na kuwa juu ya unga safi, na divai, na mafuta, na ubani, na manukato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine walichaguliwa kuvisimamia vifaa vya hekalu, na vyombo vyote vitakatifu, na unga safi, divai, mafuta ya zeituni, ubani na manukato.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine walipangiwa kutunza mapambo na vifaa vingine vya patakatifu, pamoja na unga, divai, mafuta, uvumba na vikolezo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine walipangiwa kutunza mapambo na vifaa vingine vya patakatifu, pamoja na unga, divai, mafuta, uvumba na vikolezo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi yao waliwajibika kuviangalia vyombo vya nyumbani, na vyombo vyote vya Patakatifu; pamoja na unga safi, na divai, na mafuta, na ubani, na manukato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine walichaguliwa kuvisimamia vifaa vya hekalu, na vyombo vyote vitakatifu, na unga safi, divai, mafuta ya zeituni, ubani na manukato.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wao waliwekwa kuviangalia vyombo vingine, ndio vyombo vyote vilivyomo Patakatifu, nao unga mwembamba nazo mvinyo nayo mafuta nao ubani nayo manukato.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi yao waliamaniwa kuviangalia vyombo vya nyumbani, na vyombo vyote vya Patakatifu; na kuwa juu ya unga safi, na divai, na mafuta, na ubani, na manukato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengine walichaguliwa kusimamia vifaa vya hekalu, na vyombo vyote vitakatifu, na unga safi, divai, mafuta ya mizeituni, ubani na marasi.