1 Chronicles 9:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kazi ya kutayarisha manukato ilifanywa na makuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini baadhi ya makuhani walifanya kazi ya kuchanganya vikolezo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi ya wana wa makuhani waliweka tayari machanganyiko ya manukato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kazi ya kutayarisha manukato ilifanywa na makuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini baadhi ya makuhani walifanya kazi ya kuchanganya vikolezo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini baadhi ya makuhani walifanya kazi ya kuchanganya vikolezo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi ya wana wa makuhani waliyatayarisha manukato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kazi ya kutayarisha manukato ilifanywa na makuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walioyatengeneza mavukizo kwa kuyachanganya hayo manukato walikuwa watambikaji wenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi ya wana wa makuhani waliweka tayari machanganyiko ya manukato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kazi ya kuchanga marasi ilifanywa na makuhani.