1 Chronicles 9:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Metithia, mmoja wa Walawi aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, wa ukoo wa Kora, alisimamia utengenezaji wa tambiko ya mikate myembamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlawi aliyeitwa Matithia, mwana mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, wa ukoo wa Kora, alikabidhiwa wajibu kwa ajili ya kuoka mikate ya sadaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Matithia, Mlawi mmojawapo, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, Mkora, aliamaniwa kazi ya kuviangalia vitu vile vilivyookwa kaangoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Metithia, mmoja wa Walawi aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, wa ukoo wa Kora, alisimamia utengenezaji wa tambiko ya mikate myembamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlawi aliyeitwa Metithia, mwana mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, wa ukoo wa Kora, alikabidhiwa wajibu kwa ajili ya kuoka mikate ya sadaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlawi aliyeitwa Matithia, mwana mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, wa ukoo wa Kora, alikabidhiwa wajibu kwa ajili ya kuoka mikate ya sadaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Matithia, Mlawi mmojawapo, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, Mkora, aliwajibika kusimamia uokaji wa mikate myembamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Metithia, mmoja wa Walawi aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, wa ukoo wa Kora, alisimamia utengenezaji wa tambiko ya mikate myembamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Matitia, mmoja wao Walawi, mwana wa kwanza wa Mkora Salumu, akapewa kuziangalia kazi za kutengeneza maandazi ya tambiko, kwani walimtegemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Matithia, Mlawi mmojawapo, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, Mkora, aliamaniwa kazi ya kuviangalia vitu vile vilivyookwa kaangoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Metitia, mumoja wa Walawi aliyekuwa muzaliwa wa kwanza wa Salumu, wa ukoo wa Kora, alisimamia utengenezaji wa sadaka ya mikate nyembamba.