1 Chronicles 9:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao ndugu zao wengine wa ukoo wa Kohathi walikuwa na wajibu wa kutayarisha mikate ya wonyesho kwa ajili ya hekalu kila Sabato.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya ndugu zao wa koo za Wakohathi walikuwa viongozi wa kuandaa mikate ya Wonesho kwa ajili ya kila Sabato, mikate iliyokuwa inawekwa mezani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi ya ndugu zao, wa wana wa Wakohathi, walikuwa juu ya mikate ile ya Wonyesho, ili kuiandaa kila sabato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao ndugu zao wengine wa ukoo wa Kohathi walikuwa na wajibu wa kutayarisha mikate ya wonyesho kwa ajili ya hekalu kila Sabato.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya ndugu zao wa ukoo wa Kohathi walikuwa viongozi wa kuandaa mikate Mitakatifu kwa ajili ya kila Sabato, mikate iliyokuwa inawekwa mezani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya ndugu zao wa ukoo wa Kohathi walikuwa viongozi wa kuandaa mikate ya Wonyesho kwa ajili ya kila Sabato, mikate iliyokuwa inawekwa mezani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi ya ndugu zao, wa wana wa Wakohathi, waliwajibika kusimamia mikate ile ya wonyesho, ili kuiandaa kila sabato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao ndugu zao wengine wa ukoo wa Kohathi walikuwa na wajibu wa kutayarisha mikate ya wonyesho kwa ajili ya hekalu kila Sabato.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu zao wengine waliokuwa wana wa Kehati wakapewa kuiangalia mikate, aliyowekewa Bwana, waiweke kila siku ya mapumziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi ya ndugu zao, wa wana wa Wakohathi, walikuwa juu ya mikate ile ya Wonyesho, ili kuiandaa kila sabato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wandugu zao wengine wa ukoo wa Kohati walikuwa na kazi ya kutayarisha mikate iliyotolewa kwa Mungu kila siku ya Sabato.