1 Chronicles 9:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeieli alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni ambamo aliishi yeye pamoja na mkewe, jina lake Maaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni, naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huko Gibea alikaa babaye Gibea, jina lake Yeieli, na jina la mkewe aliitwa Maaka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeieli alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni ambamo aliishi yeye pamoja na mkewe, jina lake Maaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba yake Yaieli aliishi huko Gibeoni. Mkewe aliitwa Maaka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huko Gibea alikaa babaye Gibea, jina lake Yeieli, na jina la mkewe aliitwa Maaka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeieli alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni ambamo aliishi yeye pamoja na mkewe, jina lake Maaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mle Gibeoni alikaa Yieli, babake Gibeoni, nalo jina la mkewe lilikuwa Maka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huko Gibea alikaa babaye Gibea, jina lake Yeieli, na jina la mkewe aliitwa Maaka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeieli alikuwa babu ya wakaaji wa muji wa Gibeoni ambamo aliishi yeye pamoja na muke wake aliyeitwa Maka.