1 Chronicles 9:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Abdoni, naye alifuatiwa na Zuri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mwanawe, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa Abdoni; na Suri, na Kishi, na Baali, na Meri, na Nadabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Abdoni, naye alifuatiwa na Zuri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mwanawe mzaliwa wa kwanza aliitwa Abdoni, akafuatiwa na Zuri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mwanawe, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa Abdoni; na Suri, na Kishi, na Baali, na Meri, na Nadabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Abdoni, naye alifuatiwa na Zuri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanawe wa kwanza ni Abudoni, tena Suri na Kisi na Baali na Neri na Nadabu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mwanawe, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa Abdoni; na Suri, na Kishi, na Baali, na Meri, na Nadabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muzaliwa wake wa kwanza aliitwa Abudoni, naye alifuatiwa na Zuri, Kisi, Bali, Neri, Nadabu,