1 Chronicles 9:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miklothi alimzaa Shimeamu. Wazawa wao waliishi Yerusalemu karibu na jamaa nyingine za koo zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Miklothi akamzaa Shimea. Hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miklothi alimzaa Shimeamu. Wazawa wao waliishi Yerusalemu karibu na jamaa nyingine za koo zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Miklothi akamzaa Shimea. Hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miklothi alimzaa Shimeamu. Wazawa wao waliishi Yerusalemu karibu na jamaa nyingine za koo zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mikloti akamzaa Simeamu. Nao hao walikaa ng'ambo ya ndugu zao kule Yerusalemu kwao ndugu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Miklothi akamzaa Shimea. Hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikiloti alizaa Simeamu. Wazao wao waliishi Yerusalema karibu na jamaa zingine za ukoo zao.