1 Chronicles 9:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neri alimzaa Kishi, naye Kishi akamzaa Shauli. Shauli alikuwa na wana wanne: Yonathani, Malki-shua, Abinadabu na Eshbaali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Neri akamzaa Kishi; na Kishi akamzaa Sauli; na Sauli akamzaa Yonathani, na Malkishua, na Abinadabu, na Eshbaali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neri alimzaa Kishi, naye Kishi akamzaa Shauli. Shauli alikuwa na wana wanne: Yonathani, Malki-shua, Abinadabu na Eshbaali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akawazaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Neri akamzaa Kishi; na Kishi akamzaa Sauli; na Sauli akamzaa Yonathani, na Malkishua, na Abinadabu, na Eshbaali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neri alimzaa Kishi, naye Kishi akamzaa Shauli. Shauli alikuwa na wana wanne: Yonathani, Malki-shua, Abinadabu na Eshbaali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Neri akamzaa Kisi, naye Kisi akamzaa Sauli, naye Sauli akamzaa Yonatani, tena Malkisua na Abinadabu na Esibaali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Neri akamzaa Kishi; na Kishi akamzaa Sauli; na Sauli akamzaa Yonathani, na Malkishua, na Abinadabu, na Eshbaali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neri alizaa Kisi, naye Kisi alizaa Saulo. Saulo alikuwa na wana wane: Yonatani, Malikisua, Abinadabu na Esibali.