1 Chronicles 9:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani alimzaa Merib-baali, Merib-baali akamzaa Mika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akamzaa Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwana wa Yonathani alikuwa Meribaali; na Meribaali akamzaa Mika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani alimzaa Merib-baali, Merib-baali akamzaa Mika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akamzaa Merib-Baali, Merib-Baali akamzaa Mika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akamzaa Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwana wa Yonathani alikuwa Meribaali; na Meribaali akamzaa Mika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani alimzaa Merib-baali, Merib-baali akamzaa Mika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwana wa Yonatani alikuwa Meribu-Baali, naye Meribu-Baali akamzaa Mika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwana wa Yonathani alikuwa Meribaali; na Meribaali akamzaa Mika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani alizaa Meribu-Bali, Meribu-Bali alizaa Mika.