1 Chronicles 9:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mika alikuwa na wana wanne: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Mika; Pithoni, na Meleki, na Tarea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mika alikuwa na wana wanne: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Mika; Pithoni, na Meleki, na Tarea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mika alikuwa na wana wanne: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Mika ni Pitoni na Meleki na Tarea na Ahazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Mika; Pithoni, na Meleki, na Tarea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mika alikuwa na wana wane: Pitoni, Meleki, Tarea na Ahazi.