1 Chronicles 9:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, Refaya akamzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, Refaya akamzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, Refaya akamzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, Refaya akamzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mosa akamzaa Bina, mwanawe huyo alikuwa Refaya, mwanawe huyo Elasa, mwanawe huyo Aseli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moza alizaa Binea, Binea alizaa Refaya, Refaya alizaa Eleasa, naye Eleasa alizaa Aseli.