1 Chronicles 9:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aseli alikuwa na wana sita: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hamani. Hawa wote walikuwa wana wa Aseli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo majina yao: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hao walikuwa wana wa Aseli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye Aseli alikuwa na wana sita, ambao majina yao ni haya; Azrikamu, na Bokeru, na Ishmaeli, na Shearia, na Obadia, na Hanani. Hao wote walikuwa wana wa Aseli
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aseli alikuwa na wana sita: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hamani. Hawa wote walikuwa wana wa Aseli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo majina yao: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Aseli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo majina yao: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Aseli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye Aseli alikuwa na wana sita, ambao majina yao ni haya; Azrikamu, na Bokeru, na Ishmaeli, na Shearia, na Obadia, na Hanani. Hao wote walikuwa wana wa Aseli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aseli alikuwa na wana sita: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hamani. Hawa wote walikuwa wana wa Aseli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Aseli alikuwa mwenye wana sita; nayo haya ndiyo majina yao: Azirikamu, Bokeru na Isimaeli na Saria na Obadia na Hanani; hawa ndio wana wa Aseli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye Aseli alikuwa na wana sita, ambao majina yao ni haya; Azrikamu, na Bokeru, na Ishmaeli, na Shearia, na Obadia, na Hanani. Hao wote walikuwa wana wa Aseli
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aseli alikuwa na wana sita: Azirikamu, Bokeru, Isimaeli, Searia, Obadia na Hamani. Hawa wote walikuwa wana wa Aseli.