1 Chronicles 9:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na wazawa wa Shilo, Asaya mzaliwa wa kwanza, kiongozi na wanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Washiloni waliorudi ni: Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa Washiloni; Asaya, mzaliwa wa kwanza, na wanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na wazawa wa Shilo, Asaya mzaliwa wa kwanza, kiongozi na wanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Washiloni waliorudi ni: Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Washiloni waliorudi ni: Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa Washiloni; Asaya, mzaliwa wa kwanza, na wanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na wazawa wa Shilo, Asaya mzaliwa wa kwanza, kiongozi na wanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine walikuwa Wasiloni: Asaya aliyekuwa mzaliwa wa kwanza pamoja na wanawe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa Washiloni; Asaya, mzaliwa wa kwanza, na wanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asaya wa uzao wa Silo, aliyekuwa muzaliwa wa kwanza wa jamaa yake, pamoja na wana wake.