1 Chronicles 9:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu mia sita na tisini (690).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Zera; Yeueli, na ndugu zao; watu mia sita na tisini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Zera; Yeueli, na ndugu zao; watu mia sita na tisini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wengine wana wa Zera: Yueli na ndugu zake, wote pamoja ni watu 690.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Zera; Yeueli, na ndugu zao; watu mia sita na tisini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeuli wa uzao wa Zera. Watu wa kabila la Yuda waliokaa Yerusalema walikuwa mia sita na makumi kenda kwa jumla.