1 Chronicles 9:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na wa wazawa wa Benyamini: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa Benyamini walikuwa: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Benyamini; Salu, mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na wa wazawa wa Benyamini: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa Benyamini walikuwa: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa Benyamini walikuwa: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Benyamini; Salu, mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na wa wazawa wa Benyamini: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine walikuwa wana wa Benyamini: Salu, mwana wa Mesulamu, mwana wa Hodawia, mwana wa Hasenua;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Benyamini; Salu, mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kabila la Benjamina, kulikuwa: Salu mwana wa Mesulamu mwana wa Hodavia mwana wa Hasenua,