1 Corinthians 1:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulubiwa kwa ajili yenu? Au je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Al-Masihi amegawanyika? Je, Paulo ndiye alisulubishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kristo hawezi kugawanywa katika makundi. Je, Paulo ndiye alikufa msalabani kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa katika jina la Paulo?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulubiwa kwa ajili yenu? Au je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulubiwa kwa ajili yenu? Au je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulibishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Al-Masihi amegawanyika? Je, Paulo ndiye alisulubishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulubiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulubiwa kwa ajili yenu? Au je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kristo amegawanyika? Au ni Paulo aliyewambwa msalabani kwa ajili yenu? Au mmebatiziwa jila la Paulo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munafikiri kwamba Kristo amegawanyika? Paulo ndiye aliyetundikwa juu ya musalaba kwa ajili yenu? Au mumebatizwa kwa jina la Paulo?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! Kristo amegawanyika? Paolo alisulibiwa kwa ajili yenu?