1 Corinthians 1:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. (
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninashukuru kwa sababu hakuna anayeweza kusema kuwa mlibatizwa katika jina langu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. (
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo hakuna mtu ye yote miongoni mwenu anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa Jina langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. (
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana mtu asiseme: Mmebatiziwa jina langu mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi hakuna anayeweza kusema kwamba amebatizwa kwa jina langu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Namshukuru Mungu, kwa sababu sikumbatiza mtu kwenu, illa Krispo na Gayo; mtu asije akasema kwamba nimebatiza kwa jina langu mwenyewe.