1 Corinthians 1:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wayahudi wanadai ishara za miujiza na Wayunani wanatafuta hekima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na hii ndiyo sababu Wayahudi wanataka ishara za miujiza na Wayunani wanataka hekima.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wayahudi wanataka miujiza na Wayunani wanatafuta hekima,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wayahudi wanadai ishara za miujiza na Wayunani wanatafuta hekima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Wayuda hutaka vielekezo, nao Wagriki hutafuta werevu ulio wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wayuda wanaomba kuonyeshwa vitambulisho nao Wagriki wanatafuta hekima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;