1 Corinthians 1:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili mtu yeyote asijisifu mbele zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu alifanya hivi ili mtu yeyote asisimame mbele zake na akajisifu kuwa yeye ni bora kuliko mwingine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili mtu ye yote asijisifu mbele za Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili mtu yeyote asijisifu mbele zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi mbele ya Mungu mwenye mwili wa kimtu asijivune, hata mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifanya vile kusudi hata mutu mumoja asijivune mbele yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mwenye mwili aliye yote asije akajisifu mbele ya Mungu.