1 Corinthians 1:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, na ajivunie kazi ya Bwana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye aonaye fahari na aone fahari juu ya Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo, kama Maandiko yanavyosema, “Kila anayejisifu, ajisifu juu ya Bwana tu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, basi, na ajivunie kazi ya Bwana.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, na ajivunie kazi ya Bwana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana Mwenyezi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye aonaye fahari na aone fahari juu ya Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, na ajivunie kazi ya Bwana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, iwe, kama ilivyoandikwa: Mwenye kujivuna na ajivunie kuwa wa Bwana!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye aonaye fahari na aone fahari juu ya Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile Maandiko Matakatifu yanavyosema: “Anayetaka kujivuna, ajivune kwa ajili ya Bwana.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye ajisifuye ajisifu katika Bwana.