1 Corinthians 1:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, kwa kuungana na Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na uwezo wote wa kuhubiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa katika Al-Masihi mmetajirishwa kwa kila hali, katika kusema kwenu na katika maarifa yenu yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa katika kila jambo mlitajirika katika yeye, katika maneno yote, na maarifa yote;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ambaye kwa njia yake Mungu amewabariki sana kwa namna mbalimbali hata miongoni mwenu wapo watu wenye vipawa vya kuzungumza na wengine wana vipawa vya maarifa!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, kwa kuungana na Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na uwezo wote wa kuhubiri,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, kwa kuungana na Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na uwezo wote wa kuhubiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa katika Kristo mmetajirishwa kwa kila hali, katika kusema kwenu na katika maarifa yenu yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa katika Al-Masihi mmetajirishwa kwa kila hali, katika kusema kwenu na katika maarifa yenu yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kuwa katika kila jambo mlitajirika katika yeye, katika maneno yote, na maarifa yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, kwa kuungana na Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na uwezo wote wa kuhubiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, mnavyomkalia, mwazipata mali zote zilizomo katika ufundisho na katika utambuzi wote;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa katika kila jambo mlitajirika katika yeye, katika maneno yote, na maarifa yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana katika kuungana kwenu na Kristo, mumejaliwa katika vitu vyote, zaidi sana katika mambo yanayoelekea masemi na ufahamu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa kuwa katika killa jambo mlitajirika katika yeye, katika maneno yote, na maarifa yote;