1 Corinthians 1:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ujumbe juu ya Kristo umethibitishwa ndani yenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu ushuhuda wetu kumhusu Al-Masihi ulithibitishwa ndani yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama ushuhuda wa Kristo ulivyothibitika kwenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii ni kwa sababu yale tuliyowaambia kuhusu Kristo yamedhihirika kuwa kweli katikati yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwani, ujumbe juu ya Kristo umethibitishwa ndani yenu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ujumbe juu ya Kristo umethibitishwa ndani yenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu ushuhuda wetu kumhusu Yesu ulithibitishwa ndani yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu ushuhuda wetu kumhusu Al-Masihi ulithibitishwa ndani yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama ushuhuda wa Kristo ulivyothibitika kwenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ujumbe juu ya Kristo umethibitishwa ndani yenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao ushuhuda wa Kristo ukapata nguvu kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama ushuhuda wa Kristo ulivyothibitika kwenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile inatokana na vile ujumbe juu ya Kristo umehakikishwa kwa nguvu kati yenu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kama ushuhuda wa Kristo ulivyothubutika kwenu;